Habari kutoka KIKUNDINI

Msanii maarufu Tanzania al-maaruf SWEBE akitafakari jambo na Katibu wa KSG

Inspekta Kopo utendaji wake katika tamthilia inayoendelea kupigwa itakapoanza kurushwa

Anajulikana kama Chiriku kaa tayari kuona kama ni kweli jina linaendana na matendo yake

Huyu ni Msanii Monica toka Shinyanga

Wasanii wa KSG wakijiandaa kuelekea sehemu husika tayari kwa kuendelea na kazi ya uchukuaji picha

Msanii Mussa akitafakari jambo

Miongoni mwa wasanii watoto katika kundi la sanaa KSG

Msanii Kasuku akiwa katika pozi

Jamani nimewaambia siwezi kuvuka ninyi hamuoni madimbwi? anaonekana Shime akilalamika!

Kwani we unanionaje? inaonekana ndivyo wanavyoulizana hao walio pichani!

Fukufuku akiwa katika pozi

Huyu ni Mtendaji Kata katika Tamthilia ya Malimwengu akiwa katika pozi

Huyu ni mlinda usalama katika Tamthilia ya Malimwengu

Msanii Swebe akiwa katika pozi na wasanii chipukizi

Bwana Hashim Kambi akiwa na Bwana Haji Ramadhani - Kirumba Mwanza Tarehe 27/03/2013

Msanii Zuwena akiwa katika furaha muda mchache kabla ya kuendelea na kazi ya uchukuaji picha


Inaonekana kabisa uji umeshafanya kazi yake hapa...

Msanii Hashim Kambi akitazama mandhali ya Kirumba usiku

Msanii Mariam "MAMU" akiwa katika pozi muda mchache kabla ya kupiga sehemu ngumu sana katika baadhi ya sehemu ngumu katika Tamthilia ya Malimwengu

Msanii Pendo Titus akiwa na Bwana HR aka Baba Safura baada ya mazishi

Viongozi na wasanii wa KSG wakishiriki mazishi ya baba wa msanii Tufaa (Pendo Titus)

Katikati aliebeba begi ni Bwana Julius Mahela kutoka Sabaktan Multimedia Production nae alishiriki mazishi pia

Msanii Pendo (Tufaa) Ilikuwa huzuni kubwa mazikoni

Msanii Tufaa (mwenye kitambaa chenye mistari kichwani) akiweka shada katika kaburi la baba yake akiwa na ndugu zake

Katibu Mipango KSG Bwana Simple akitoa maelekezo

Mwenyekiti KSG Bwana Issa Katumba akiwa na huzuni (au alitengeneza hisia mimi sijui!)
Wasanii KSG walishiriki hatua zote kwa moyo mmoja

Licha ya mvua kunyesha na udongo kumomonyoka mazishi yalifanyika

Taratibu za mazishi zikiendelea

Kiongozi wa kidini mtaa wa Kabuhoro akianza kuweka udongo kaburini

Jeneza likiwekwa sawa

Mwenyekiti KSG akijaribu kutoa taarifa za msiba wa baba wa msanii Tufaa sehemu mbalimbali

Wasanii Pakawa, Mama Mafuru aliemkumbatia mfiwa na Pilipili wakiwa hospitali ya rufaa Bugando ambako walienda kumtazama mgonjwa na kukuta amefariki. lilikuwa ni jambo la huzuni sana. lakini BWANA AMETOA BWANA AMETWAA

Taazia kwa msanii John na Kais kwa kufiwa pia na watu wao wa karibu

Pole msanii wetu Juma tunakuombea kupona haraka kwa mgonjwa wako

2 comments:

  1. hapa mlikuwa mnaigiza au habari za ukweli?

    ReplyDelete
  2. Pole baba Safura kwa ajali iliyokupata tunakuombea kupona uspesi

    ReplyDelete