News - Habari

Magazeti ya Tanzania

Magazeti ya Afrika

 Magazeti ya Kimataifa

Radio

TV
 
TAAZIA
TUNASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MSANII WETU MAARUFU SALEH KITWIMA ALMAARUF MTUNGI

INNALILLAH WA INNA ILAYHI RAJIUN, ALLAHUMA GHFIRAHU WARHAMHU WAMASKANAHA FIL JANNA. 

Boti moja imetaka kuzama katika ziwa Victoria na hekaheka za uokoaji ziliendelea mpaka wakati tunaondoka kwa bahati mbaya wahanga wa ajali hiyo hatukuweza kuwapata kutokana na kupelekwa eneo tofauti na eneo tulipokuwa tukipata picha za tukio. (eneo husika la ajali ni lilelile ilipozama MV Bukoba)


Mtumbwi wa wavuvi waliojitolea kufanya kazi ya kuwatoa watu kwenye boti iliyozidiwa mawimbi na kutaka kuzama

Tazama hali halisi ilivyokuwa

No comments:

Post a Comment