About Us

SISI NI NANI

Kirumba Sanaa Group ni kikundi cha sanaa chenye lengo la kuinua vipaji vya wasanii wachanga huku ikisaidia kulinda vipaji vilivyopo ili iwe urithi kwa vizazi vijavyo na pamoja na hayo. na pia Kirumba Sanaa Group inakusudia kuwa na malengo zaidi katika uboreshaji sanaa za aina zote ikiwamo ufundi wa aina mbalimbali na ubunifu wa kisasa zaidi kwa kutumia njia na mbinu za kisasa.

Ni matarajio yetu kuwa tutaleta mageuzi makubwa katika sanaa katika nchi za maziwa makuu na pia kuitangaza nchi yetu kimataifa, na hili tunalifanya kwa lengo la kuboresha na kuleta changamoto kwa wasanii na wadau wengine.

Katibu.